Friday, January 4, 2013

Hii ndio Safari ya mwisho yam Sajuki!!

mwili wa marehemu ukiwasili
baadhi ya waombolezaji waliojitokeza..
wakina mama wakiwa na nyuso za udhuni..
mheshimiwa Zitto akiwa na Mwakifamba baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu..
mwili wa marehemu ukiswaliwa..
japo mvua kubwa ilinyesha lakini wapenzi wa Sajuki walijitahidi kutokosa kusindikiza katika safari yake ya mwisho hapa duniani..
wakielekea kumpumzisha katika nyumba yake ya milele..
makaburini Kisutu
Rais wa Tanzania akiwasili..
inahuzunishaa...
sehemu ya wahudhuliaji..


mbunge wa Kinondoni na LE MUTUZ!!
Millard, Massanja, Pro Hans na Linex...
HUU NDIO MWISHO WA SAJUKI..
**INNA LILLAH WAINA ILLAHI RAJIUN**

No comments:

Post a Comment