Tuesday, February 19, 2013

BALOZI MWANAIDI SINARE MAAJAR ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA DIPLOMASIA 


Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe.Mwanaidi Sinare Maajar akiwa kwenye
Picha ya Pamoja na Rais wa Marekani Barrack Obama,Mara baada ya kukabidhisha
hati ya utambulisho wa Balozi wetu Huyo Nchini Humo tarehe 16.09.2010

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Jakaya Mrisho kikwete
Amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Bodi
ya Chuo cha Diplomasia(CFR) Kilichopo kurasini Jijini Dar Es Salaam.

SHILOLE CLASSIC AFANYA BALAA SOUTH AFRICA...!!

Shilole classic akiwa na Baby Boy na Mafia Mnyama alipowasili Afrika kusini
Anzo Mafia,Joff Mnyama wakiwa na shilole kabla ya show....!!
Anzo Mafia Moja ya Promoter Nguli South Africa akiwa na Flower Diva
kutoka S.A
Mama Kiuno Shilole akiwa na Moja ya wadau wa S.A
Mafia Mnyama The Man Himself Aliefanikisha show ya Shilole nchini
S.A......

Si ndo Mziki wa Mwambao ukahanza kuteremka taratibu.......

Ni viuno tu Kwenda Mbele.....!!
John A.k.a Toyi akiwa na Shilole after show....!!

DIAMOND AWEKA HISTORIA ARUSHA....!!

Kiukweli Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha 
usiku wangu huu wa Usiku wa Valentine 
uliofanyika Mjini Arusha ndani ya CLUB SAFARI CARNIVAL
Tareh 16/02/2013....maana ilikua ni mara ya Kwanza kwa Msanii wa kitanzania
kufanya show kwa Kiingilio kikubwa cha (150,000) Laki Moja na Nusu na watu kufurika
pasipo hata mimi kutegemea.....Kiukweli ilinifariji sana na kuona kweli Watanzania
wanathamini na kujali vipaji na sanaa zao tofauti na zamani tulikuwa tukiona show ya
 kiingilio kikubwa ni mpaka msanii wa kutoka nje akija nchini ndo watu ujaa kwa wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya vizuri, kujituma na kuwa mbunifu zaidi ili nami kesho
na kesho kutwa niweze kuiweka Nchi yangu kwenye Ramani nzuri ya
 Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
 MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote Niliokuwa nao Pamoja Arusha..Bila kumsahau
My Blood Ibrah Madharau

Shuguli Ilihanza Hivi.........!!









 






 


























                     Source: Mzazi Diamond Platnumz

BINTI ALIE MCHOMA MOTO NA KUMLISHA CHOO MTOTO AHUKUMIWA MAISHA JELA...!!

Hii Stori Moja wapo kati ya Stori za Mbeya Zilizokaa sana kwenye Headlines
Mwaka huu,Ni kuhusu yule Binti Alimchoma kwa Maji moto na Kumlisha choo
Mtoto mwenye Miaka 3 ambae ni wa Dada yake...
Mtoto Huyo alikatwa Mikono Baada ya Kushindwa Kutibiwa hospital...

TAHARIFA ambayo Imeripotiwa Kutoka Mbeya Kwamba Binti Huyo amehukumiwa
Kifungo cha Maisha Jela...!!