
Msanii wa kibongo kwa maana halisini kioo cha jamii ambaye mara nyingi huwa mstari wa mbele kuikemea jamii na kuionya pia.....Maonyo hayo huifikia jamii kupitia kazi zao za sanaa.....
Wasanii na Waalimu ni mfano hai wa kuigwa kimaadili hasa katika kipindi hiki kigumu cha UTANDAWAZI.
Jamii itawashangaa kama mtafkia hatua ya kuukumbatia "UZUNGU" na kuukana "UAFRIKA"
No comments:
Post a Comment