Msaniii wa Muziki wa Bongo NASH MC katika ukurasa wake wa Facebook
ameyasema yake hasa kuhusiana na wasanii wa bongo muvi kwenye suala zima
la kusaidiana hasa mmoja wao anapopatwa na matatizo, lakini imeonekana
misaada hiyo inawalenga wachache tu na wengine wakitengwa.
Msome HAPO JuU alichokisema NASH MC
No comments:
Post a Comment