Utapata zote kali toka ndani na njee bila kulipia .....!!
Sunday, January 6, 2013
Gumzo limeenea duniani kote kwamba kesho (21/12/2012) ni mwisho wa dunia.
Eti jamani, tujadiliane: Gumzo limeenea
duniani kote kwamba kesho (21/12/2012) ni mwisho wa dunia. Je, wewe
binafsi unadhani ni kweli au lah? Tuongee kwa pamoja kwa ku "share" na
ku "comment".
No comments:
Post a Comment