.
SEHEMU
ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani na nje ya nchi cha
Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri umeanguka na kuyaharibu
vibaya magari zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza
na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni,
Charles Kenyela amesema, idadi ya magari yaliyoangukiwa yanakadiriwa
kufikia 24.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela
No comments:
Post a Comment