Friday, January 11, 2013

HII NDIO YA PETER WA P'SQUARE ILIYOPO MAREKANI...

Pamoja kundi la P-Square kumiliki kwa pamoja nyumba ya kifahari nchini Nigeria iitwayo Squareville ambayo imejengwa kwa mabilioni ya shilingi, Peter Okoye ambaye ni mmoja wa mapacha hao ameonesha nyumba yake anayomiliki huko San Fransisco, Marekani.
Katika picha inayoionesha nyumba hiyo aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram Peter ameandika “My little Squareville in San Fransisco ….. Thank u Lord.”
Tazama picha za ndani ya nyumba hiyo na uone jinsi hawa jamaa walivyo na utajiri.

Peter akimsaidia mchumba wake kupika
Peter akimsaidia mchumba wake kupika
07b78ed65b4c11e28b9422000a1fbe38_7
Damn!
Damn!
Family time
Family time
Wow! Nice Crib for sure
Wow! Nice Crib for sure
Sebule haikosi Piano
Sebule haikosi Piano
Mtoto wa Peter akicheza 
Source blog Bongo5

Mtoto wa Peter akicheza

No comments:

Post a Comment