Thursday, July 18, 2013
Tattoo Mpya Ya Justin Bieber Na Inamuhusu Nani
Monday, July 15, 2013
CHEKI HAPA MJI MZURI KULIKO YOTE DUNIANI NA VYANZO VYAKE....
Picha hii ni mwonekano wa kaskazini wa mfano wa mti wa mnazi uliotengenezwa nchini dubai ndani ya bahari,unaweza kuona majengo marefu na hata njia mbalimbali za magari.... |
Picha halisia ya kile nilichokuelezea kwa juu hapa unaweza kuiona saawia kabisa.... |
Kusini mwa Mti huu unaweza kuona sehemu hii shuguli mbalimbali zinafanyika... |
Picha ya Juu kabisa unaweza kuona mandhari ya kitu nachokuelezea na kuvuta taswira ya kile nilichokujuza pale juu.... |
Angalia mandhari ya eneo ili lililojengwa kwa ramani ya dunia na unavyoona ni makazi ya watu wanaishi kabisa ndanio ya ya ramani hiyo ya dunia.... |
Mandhari zahiri ya Sehemu husika pembezoni mwa ramani ile ukiona sehemu za pembeni ni nyumba na hoteli za kitalii ....!! |
Home Biography Videos Lyrics Contact Us Baada ya habari kusambaa kuwa Agness Gerald na Melisa Edward wamekamatwa na madawa ya kulevya SA. Agness ajibu
Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa
Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi
bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha
kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald
ambae wengi wanahisi ni Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South
Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli)
ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya
kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini na kuandika maneno haya
na baadae kupost pichaa hii yenye caption hiyo hapo chini
jessolomon@renatusleonard naomba nijuze kunani??
nishabebee88Tunasemaga BUH BUH BUH likimpata mtuu timua vumbiiiiiii BUHHHHHHHHHHHH .. love u bby boo
Subscribe to:
Posts (Atom)