Nyota wa Pop wa nchini Colombia, Shakira amejifungua mtoto wa kiume jana
mjini Barcelona, Hispania.Shakira ametoa taarifa hizo kupitia website
yake ambayo iliandikwa kwa Kiingereza, Spanish na Catalán:
“We are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of
Shakira Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in
Barcelona, Spain.The name Milan (pronounced MEE-lahn), means dear,
loving and gracious in Slavic; in Ancient Roman, eager and laborious;
and in Sanskrit, unification.”Baba wa mtoto huyo ni mchezaji wa FC Barcelona, Gerard Piqué.
No comments:
Post a Comment