Friday, January 4, 2013

Usiku wa Wasafii ndio ilivokua ivii!!!

Kufuatia vurugu zilizotokea kwenye show yake ya kufunga na kufungua mwaka iliyofanyika Maisha Club, msanii 1st Grade Bongo Diamond Platinumz amefunguka na kusema hasara aliyoipata kwenye fujo hizo..



Alisema amepata hasara ya zaidi ya Milioni 13 kutokana na kuibiwa kwa simu yake IPHONE5, cheni pamoja na video camera aliyoinunua kwa bei kubwa sana kwa ajili ya matumizi ya website yake.



Kwa sasa hili sakata lipo polisi na soon tutawajua hao wapenda kuharibu shughuli za watu..


No comments:

Post a Comment