Friday, January 4, 2013

CHECK OUT: COVER MPYA YA VANESSA MDEE "CLOSER"


Hii ndiyo cover ya ngoma mpya ya Vanessa Mdee ambayo inakwenda kwa jina la Closer kutoka katika Label ya BHitz na pia bila kusahau anatarajia rasmi kuiachia ngoma hiyo siku ya tarehe 11 mwezi huu.Kwa hiyo wale ambao walikuwa wanasubiri sana ujio mpya kutoka kwa mwanadada Vanessa Mdee kaeni tayari.

No comments:

Post a Comment