Monday, January 21, 2013

PICHA: TATTOO YA B.I.G KWENYE MDOMO WA MTOTO WAKE TYANNA WALLACE.

Mtoto wa kike wa Marehemu  Notorious B.I.G, Tyanna Wallace amechora Tattoo ya Muda Mrefu ya Jina la Baba yake mzazi  Notorious B I G Kwenye midomo. Tattoo hiyo Imeandikwa B.I.G Kwa herufi kubwa na Inasemekana hii sio tattoo ya kwanza inayo mkumbusha baba yake. Mwaka jana alichora tattoo inayo muonyesha B I G Kama malaika kwenye Bega lake la Kulia.
Tyanna Wallace aliandika hivi kwenye Twitter.

Tweet Ya Tyanna Wallace




Picha Ya Tattoo Hiyo

No comments:

Post a Comment