Thursday, January 17, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA CHEGE "USWAZI"



Msanii kutoka *Tmk Wanaume Family* maarufu kama *Chege Chigunda *baada kutamba na ngoma kali iliyofahamika kwa jina la Mwanayumba,sasa basi kwa sasa hivi yupo katika maandalizi ya kuachia video yake mpya inayokwenda jina la *Uswazi.* * Hizi* ni baadhi ya picha za *utengenezaji* wa video hiyo mpya ya chege *Uswazi

No comments:

Post a Comment