The
Big Boss wa Playboy Enterprises( Playboy Magazine, Girls of playboy
mansion, etc) mwenye umri wa miaka 86 afunga ndoa na girlfriend wake wa
siku nyingi Crystal Harris mwenye miaka 24 tarehe 31 december 2012.
Bibi
harusi huyo ameonekana kuwa na furaha sana baada ya kufunga ndoa na
Hugh, muda mchache baadae aliandika kwenye account yake ya twitter "leo
nimekuwa Mrs Hugh Hefner, nina furaha kwani najihisi nimebarikiwa na
nina bahati sana". pia alipost picha mbalimbali za matukio ya harusi
yao.
Crystal
Harris amewahi kuwa Miss Playboy december 2009 na mara baada ya kufunga
ndoa alibadilisha jina lake kwenye twitter na sasa anatumia 'Crystal
Hefner'
Pia Hugh Hefner aliandika kupitia twitter "happy new year from Mr. and Mrs. Hugh Hefner ..
Inaonesha wanapendana sanaa..
Wabongo wapenda kuiga aya igeni kuolewa na mababu wa baba zenu ahahahhahahhaha!!
No comments:
Post a Comment