Utapata zote kali toka ndani na njee bila kulipia .....!!
Saturday, January 19, 2013
ILE FILAMU YA MWISHO KUIGIZA WASTARA NA SAJUKI, SASA YAINGIA SOKONI. ICHEK HAPA
Filamu
aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’ leo imeingia
sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa
na kampuni ya Steps imewahusisha pia waigizaji Slim Omary na Mohammed
Said.
No comments:
Post a Comment