
Tangu aachie wimbo wake wa kwanza, Closer, Vanessa Mdee amekuwa
akimwagiwa sifa kibao kutoka kwa watu mbalimbali kiasi ambacho
kimewafanya baadhi ya watu wahisi kama anapendelewa. Lakini ni ukweli
usiopingika kuwa mtangazaji huyu ameendelea kujipatia mashabiki kibao.Shabiki wake mpya wa sasa ni heavy weight mc, Joseph Haule aka Profesa Jay.Profesa Jay ameshindwa kujizuia na leo kwenye mtandao wa Twitter amefunguka kwa Vanessa kwa kutweet, “ Vanessa Mdee una kipaji cha hali ya juu sana, nakuomba sana sana ukichukulie SERIOUS, maana nahisi kama bado unauchukulia MUZIKI kama HOBBY!” “Coming from you. That means…
No comments:
Post a Comment