Hili ni kundi linalounganisha wadada watatu ambao ni Rahima, Radhia pamoja na Radhina kwa pamoja wanaunda kundi la Unique Sisters.
Sasa kutokana kimya cha muda murefu kutoka kwa wadada hao ni kuwa sasa
wamerudi tena kwenye game na sasa wamekuja kivingine kabisa na ngoma yao
mpya inayokwenda kwa jina la Club Banger.
No comments:
Post a Comment