Saturday, January 19, 2013

NISHER:NATUA DAR KESHO KWA KUFANYA VIDEO MPYA YA DJ CHOKA PRESS PLAY KUTOKA B HITS

Director kutoka Arusha maarufu kama Nisher baada ya kufanya vizuri katika upande wa production kupita Nisher Entertainment sasa anazidi kuwafutia watu wengi sana katika tasnia hii ya muziki,sasa kesho anatarajia kutua Dar es Salaam kwa kujiandaa kufanya video mpya ya Dj choka Press Play kutoka B hits. kwa wale ambao wanasubiria video mpya ya Press Play basi huyu ndiye atakayehusika katika kichupa hicho.

No comments:

Post a Comment