Dogo Janja ama
waweza kumuita Janjaro kwa sasa ameongea kwa niaba ya Ostaz Juma na
kueleza sababu ya kurudia video hiyo na jinsi walivyoyapokea malalamiko
ya raia.
"yerEEEEEEE
niaje bandugu na kausiku haka hope uko poaaaaa ''NASIMAMA KWA NIABA YA
Ostazi Juma namusoma'' ni kwamba now ndo tumerud hm tulikua location
siku nzima samahanini sana mashabiki wetu wa mtanashati tunawapenda na
tumeamua kufata ushauri wenu na kuzijudge comment zenu kuhusu video ya
PNC SHINO-imebuma brand new track yake kwamba wimbo ''AUDIO'' ni mzuri
sana ILA ILE VIDEO ILIKUA more than mbayaaaaaaaaaaaaaaaaa yaaani ''SI
NZURI'' so, kosa sio letu ila kosa lilikua la directror ambaye alieshoot
video ya pnc ''abbykaz'' chini ya company yake ya ''IMAGE ARRAY
VISION'' kwani yeye ndo alikua mpango mzima kwny video
iyoooo................ ila amekuta akikifanya kitu simple na kuzani ni
easy easy kama kupika vitumbua KAMA COMPANY YA MTANASHATI TUMEAMUA
KURUDIA VIDEO YA PNC SHINO- IMEBUMA NA COMPANY YA APEX VIDEOS CHIN YA
DERECTOR PABLO NA kiukweli mi enyewe nimefurahia video maana nlikua
location na pia nimeshudia video WALLAH imekua seriosly so, TUNAWAOMBA
RADHI KWA YOTE NA YOTEEE NAWAOMBAA WATANZANIA KWA MIKONO YANGU YOTEE
MIWILI KWA HEKIMA NA ADABU MUMPOKEEEEEEEE PNC NA VIDEO YAKE MPYA
[VERSION 2] AU SIO MTU WNG>>> BAADA YA WIKI MBILI MUNGU
AKIJAALIA AKITUPA UZIMA INSHAALAH ITATOKAAAA,,,........ GET READY PEOPLE
AU WE UNAONAJEEEEE TUMEFANYA SAHIHI AU WRONG EBUUUUUUU NICHANEE
TU.............USIOGOPE"
No comments:
Post a Comment