Friday, January 4, 2013

WEMA SEPETU KESHO KUTANGAZA KIPINDI CHA COUNTDOWN NDANI YA CHOICE FM

Kama wewe ni shabiki wa Wema Sepetu kesho hupaswi kukosa kumsikiliza akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 kupitia Choice Fm ya Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni.Choice Fm husikika Dar es Salaam pekee kupitia 102.5 FM na kwa njia ya internet

No comments:

Post a Comment