Friday, January 4, 2013

ILE SIKU ZA MWIZI NI AROBAINI NDIYO HII HAPA

Jina kamili anaitwa Rama Jangiri ambaye anahusika na uwizi wa vifaa vya magaria hapa jijini Dar es Salaam kama Side mirror,power window na vitu vingine tu,sasa mtuhumiwa huyu alikamatwa katika hotel ya Farway kwa kutumia mtandano wa compyuta na hatimaye wanausalama wamefanikiwa kumkamata na hii ni moja kati ya video ambayo wananchi wamemkamata huku wana hasira naye.
            

No comments:

Post a Comment