Utapata zote kali toka ndani na njee bila kulipia .....!!
Friday, February 1, 2013
WEMA SEPETU ACHUKUA FOMU KUSHIRIKI BBA 2013
Muigizaji Wema Sepetu, leo hii ametia tim offisi za Multchoice na
kuchukua form kwa ajili ya kushiriki kwenye mchakato wa kwanza wa
shindano la Big Brother Africa BBA, 2013
No comments:
Post a Comment