Tuesday, February 19, 2013

BINTI ALIE MCHOMA MOTO NA KUMLISHA CHOO MTOTO AHUKUMIWA MAISHA JELA...!!

Hii Stori Moja wapo kati ya Stori za Mbeya Zilizokaa sana kwenye Headlines
Mwaka huu,Ni kuhusu yule Binti Alimchoma kwa Maji moto na Kumlisha choo
Mtoto mwenye Miaka 3 ambae ni wa Dada yake...
Mtoto Huyo alikatwa Mikono Baada ya Kushindwa Kutibiwa hospital...

TAHARIFA ambayo Imeripotiwa Kutoka Mbeya Kwamba Binti Huyo amehukumiwa
Kifungo cha Maisha Jela...!!

No comments:

Post a Comment