Tuesday, February 12, 2013

LAUNCHING PARTY YA NEW VIDEO YA OMMY DIMPOZ....ME & U...!!

Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jana.....!!

skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa
 atupe Barka zake....!!
Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na  Niende kwa Amani...!!
WASAFIIIII......!!
Tulivofika Nje tukaanza Kukoki SMG zetu kabisaaa...!!

Ramadhani Mpauka......!!
Nikiwa na Abdallah Mjukuu wa Ambua toka EATV
mi Humwitaga Dullah Planet
Nikiwa Naingia Maishani ....!!

Nikiwa naYvonne,Fetty Kitasa & Prince BrotherMan Dully Sykes...!!
Mwaulanga pia Ndani...

Ommy Dimpoz akihojiwa na Sesar wa CLOUDS fm Juu ya lAUNCHING ya Video yake..!!
Poz kwa Poz OMMY DIMPOZ & PRESIDENT HIMSELF ..!
Nikiojiwa na Sesar wa Clouds Tv Juu ya Uwepo wangu kwenye Launching Hiyo..!
Nani Amenuna....?? Aii Nasema Nani Amenuna.....??
B12, TwangalaTwzzy toka Xxl ndo alikua anaongoza jahazi....
New Crew in Town ya Madada 'SHOSTITO' wakimwaga Mauno Stejini...!!
Nikaanza kukinukisha kama kawaida yangu....!!


Kwanza nikaanza kuwalewesha.!!
aghaaa......!!

Baadhi ya umati uliokuwepo Maishani.....wingi
wa watu ulichangia AC kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha...!!


It was Hoot......& Craeeyzzz  Baby....!!

Dimpoz kwa Pozi...Super Handsome akaanza.....!!

Tukutane tena baadaee.... aiii Baadaee.........


Dimpoz kwa Pozi akiwauliza Mashabiki wake.....Niendelee Ama Nsiendele....??

Oooh Me & You.....!! Dimpoz akiimba kwa Hisia mbele ya mashabiki waliofurika
ukumbini umo....!

dah! Nafarijika sana nnapoona wananchi wanasupport wasanii wao...!!
Basi ndo Ule Utamu...Utamu....!!
Prince BrotherMan Dully Sykes Akizungumza na Mashabiki Bahada ya kumaliza\
kuwapa utamu....!!

No comments:

Post a Comment