Rapper Lil Wayne ameshirikiana na kampuni ya ubunifu ya Kanye West itwayo DONDA katika kutengeneza cover la album yake mpya ya I Am Not A Human Being II Inayotoka March 26th..
Hii Ndio kampuni iliyosimamia Cover la 2 Chainz Based On A TRU Story .
No comments:
Post a Comment