Tuesday, February 19, 2013

HATIMAYE BEYONCE AMWONYESHA MWANAE KWA MARA YA KWANZA, ICHEKI PICHA HAPA

Blue Ivy
Picha ya Beyonce na mwanae Blue Ivy Carter imesambaa mtandaoni ambapo mtoto huyo anaonekana clear!!
Kwenye documentary yake ya HBO itakayoruka leo usiku “Life Is But A Dream,” Beyonce hatimaye anamuonesha Baby Blue. Bila minguo ya kumficha wala blanket!!
Lakini picha hiyo kutoka kwenye makala yake imeleak jana jioni and ‘the internet streets are going nuts’.
Blue amebadilika kiasi ukilinganisha na picha za kwanza alipozaliwa lakini bado ana mchananyiko wa sura ya mama na baba yake

No comments:

Post a Comment