
Uwezo na muingiliano huu utakuwa ni katika kuunganisha na ku-share mambo mbalimbali kati ya simu na Play Station yenyewe.
Wapenzi wa games, wamekuwa na hamu kwa muda sasa kujua ni nini hasa ambacho kitakuwa kipya katika PS4 na wakati huo huo kampuni ya Sony imekuwa makini kutunza siri mpaka Februari tarehe 20.
Kupitia kipande cha Twitter kila mmoja amekuwa akisema ya kwake kuhusiana na PS4 - #PlayStation2013 ambapo meengi yamesemwa, ila ukweli halisi utajulikana ndani ya siku 8 zijazo.
No comments:
Post a Comment