Friday, February 1, 2013

MSANII PIPI YUPO TAYARI KUFUNGA NDOA,HII NDIO PETE ALIYOVALISHWA.

Hii Ilikuwa Post Kwenye Facebook Ya Pipi Doreen Kuhusu Pete aliyo valishwa na Mpenzi wake. Pipi Aliongea na sammisago.com kuhusu maisha yake kwa sasa na kusema wakati anaujauzito alifanyiwa Ndoa ya Kimila na Kwa sasa baada ya Kujifungua yupo tayari Kufunga Ndoa Kanisani na Anafuraha and She So Happy About It,Alisema Pipi . Kuhusu Mziki Pipi alisema hajaacha mziki ila kwa sasa maisha yake yana mambo mengi ambayo anabidi afanya ila akimaliza atafanya mziki kama kawaida.

No comments:

Post a Comment