Friday, February 1, 2013

TATTOO MPYA KWENYE MGONGO WA RAPPER DRAKE.

Drake Ameongeza mkusanyiko wa Michoro kwenye Mwili wake kwa kumchora Marehemu Mjomba wake na Bibi yake Pembeni ya Tattoo ya Aaliyah na Binti mwingine aliye fichwa sura. Hii Tattoo ilianza kuchorwa December 27 na Kumalizwa January 13. Ukiangalia vizuri utaona sura nyingine pembeni ya tattoo mpya imefichwa na mpaka sasa Drake hajasema kwanini ameficha sura hio na huyo mwanamke ni nani.


No comments:

Post a Comment