Kanye bought a tiny replica of his Batmobile-
styled Lamborghini Aventador LP 700-4 for his
six months old daughter, North West, as a Xmas
gift. The child-size electric version of the rare $
750,000 black supercar car is said to be worth
thousands of dollars. A car North can't ride for
years to come.
Kim posted the pic above on instagram
yesterday, with the caption ''Like father like
daughter''.
Monday, December 30, 2013
Kanye west amnunulia Lamborghin mwanae ambae ana Miezi sita Kama Zawadi ya Xmas
BAADA YA JUSTIN BIEBER KUDAI KUACHA MZIKI KABISA, MENEJA WAKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA. SOMA ALICHOKISEMA HAPAA
Scooter Braun ambaye ni manager wa msanii wa
pop Justin Bieber amesema msanii wake
anahitaji kupumzika na kwamba Justin hajapata
nafasi hio toka akiwa na miaka 12 alipoingia
rasmi kwenye muziki. Kauli hii ameitoa manager
huyo baada ya mahojiano ya Justin na kutio cha
radio flani ambapo Justin alifunguka kuhusu
kuacha muziki kabisa.
Manager huyu aliyeanza kumsimamia Justin
toka mwanzo wa safari yake ya muziki amesema
"I'm Retiring Man" Ni jina la album ya 6 ya
Justin na ataifanyia kazi mwakani.
Taarifa hizi za Justin kuacha muziki zilisamba
baada ya Beiber kuandika kwenye ukurasa wake
kuwa anastaafu muziki ila atabaki kuwabenda
na kuishi kama "Belieber" na kuwa kuishi hivyo
ni maisha ya mtu anayo chagua.
Picha: kwenye uzinduzi wa Video ya Rich Mavoko Maisha Club
Juz kati Hapa msanii wa bongo fleva Rich Mavoko alizindua Video ya nyimbo yake inayohit kinoma Sasa jijini na video Io ilizinduliwa Tarehe 29/12/2013 pale Maisha club iliyopo Osterbay ..
Na alisindikizwa na wasanii kama Jux,Shetta,Dully sykes,Mr.blue,gosby, na wengi...
Tuesday, August 13, 2013
Picha: Mmiliki wa Home Shopping Center akiwa South Africa kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali
Hatua hiyo ilitoa mwanya kwa mtuhumiwa kutoroka eneo la tukio kwa kutumia usafiri aina ya pikipiki.
Hapo awali ilidaiwa kuwa Saad alikuwa anaweza kuzungumza japo amefungwa mashine sehemu ya pua kwa ajili ya kumsaidia kupumua.
Matukio ya watu kumwagiwa tindikali yameonekana kushamiri nchini katika siku za hivi karibuni.
Tukio la kumwagiwa tindikali mmiliki huyo wa Home Shopping Centre, limekuja ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Said Juma Makamba naye ajeruhiwe vibaya usoni kwa kumwagiwa maji maji yanayosadikiwa kuwa ni tindikali majira ya usiku akiwa nyumbani kwake.


