Monday, December 30, 2013

BAADA YA JUSTIN BIEBER KUDAI KUACHA MZIKI KABISA, MENEJA WAKE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA. SOMA ALICHOKISEMA HAPAA

Scooter Braun ambaye ni manager wa msanii wa
pop Justin Bieber amesema msanii wake
anahitaji kupumzika na kwamba Justin hajapata
nafasi hio toka akiwa na miaka 12 alipoingia
rasmi kwenye muziki. Kauli hii ameitoa manager
huyo baada ya mahojiano ya Justin na kutio cha
radio flani ambapo Justin alifunguka kuhusu
kuacha muziki kabisa.
Manager huyu aliyeanza kumsimamia Justin
toka mwanzo wa safari yake ya muziki amesema
"I'm Retiring Man" Ni jina la album ya 6 ya
Justin na ataifanyia kazi mwakani.
Taarifa hizi za Justin kuacha muziki zilisamba
baada ya Beiber kuandika kwenye ukurasa wake
kuwa anastaafu muziki ila atabaki kuwabenda
na kuishi kama "Belieber" na kuwa kuishi hivyo
ni maisha ya mtu anayo chagua.

No comments:

Post a Comment