Monday, March 18, 2013

 

 

VIDEO: TI AKIWACHANA TMZ NA MITANDAO MINGINE KUFUATIA RIPOTI YA HALI YA LIL WAYNE

No comments:

CHEKI ALICHOKIFANYA WIZKID KAMA SHUKRANI KWA KUFANIKIWA KIMUZIKI

No comments:
Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake.

Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote.

Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati na hii ndiyo video ambayo inaonyesha mambo yalivyokuwa;



EXCLUSIVE: VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO: ONE TIME

No comments:

#AJABU: HUYU NDIYE MWANAUME AMBAYE ANATARAJIWA KUFANYIWA OPARESHENI ILI KUWEKEWA UUME

No comments:
Historia mpya inakaribia kuandikwa duniani baada ya mwanaume ambaye anajulikana kwa jina Andrew Wardle, kutoka Stalybridge, Greater Manchester huko Uingereza ambaye alizaliwa bila uume, kufanya mpango wa kutengenezewa na kuwekewa kiungo hicho kwa njia ya oparesheni.
Andrew Wardle
Mwanaume huyu ambaye kwa sasa anaumri wa miaka 39, anatarajiwa kuwa mwanaume wa kwanza kabisa duniani kufanyiwa oparesheni kama hii na ajabu zaidi ni kwamba, kiungo hiki kitatengenezwa kutoka sehemu ya mkono wake.
Andrew Wardle
Katika mahojiano yake na mtandao wa The Sun, Wardle mwenyewe anasema kuwa, hakuwahi kufikiria kutokea kwa siku ambayo anaweza kupata kiungo hiki muhimu kwa mwanaume na ambacho kinafanya kazi sawasawa, na endapo itakuwa ni ya mafanikio, ataanza kuishi kama mtu wa kawaida.



Madaktari kutoka chuo kikuuu cha London tayari wameshakiri ugumu wa zoezi ili lakini wamesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa.

Katika hali yake aliyokuwa nayo sasa, Wardle anadai kuwa amekwishawahi kulala na zaidi ya wanawake 100, na asilimia 20% tu ya wanawake hawa ndio alioweza kuwaambia ukweli.

Wardle kwa sasa anafanya kazi kama mlinzi, mpishi na mhudumu na katika historia yake, amekwishapata matukio mbalimbali ya kunyanyaswa kutokana na hali yake na kupoteza marafiki kadhaa wa kike, na amekwishakuwa akijihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya kama kitu cha kumfariji.

BURUDIKA NA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH FT BEN POL - KARIBU DAR

No comments:

MANENO MAKALI YA SONGA KWA DIAMOND NA NEY WA MITEGO YAKO HAPA.

No comments:

Baada ya reaction tofauti tofauti za watu na wengine kusema kuwa anajitafutia promo Aliandika Hivi.


Songa

LEO BIRTHDAY YA PETER MSECHU, HII NDIO MPYA KUTOKA KWAKE LEO.

No comments:
Peter Msechu


PICHA 2: ILI MACHO YAKO YASICHOKE KWA STYLE MOJA YA NYWELE,BOB JUNIOR AMEZIBADILISHA HIVI.

No comments:

Bob Junior Anapenda Kuwa Na Muonekano Tofauti Kila Mara Na Nikama Mvuto Kwa Mashabiki Wake. Tarehe 19 March Ni Birthday Yake ila Kwa Sasa Hayupo Tanzania. Bado Yupo Ulaya Kwenye Tour Ndefu. Show Yake Nyingine Ni Tarehe 29 Mwezi Huu Na Itakuwa Nchini Denmark.

No comments:

Post a Comment