Monday, March 18, 2013

AFYA YA LIL WAYNE YAZIDI IMARIKA, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA !!!!!




Baada ya kuanguka kifafa mwanzo wa wiki iliyopita rapa Lil Wayne amerudi tena hospitali ingawa safari hii anaendelea vizuri

Rapa huyo 30 alifikishwa kwenye hospitali ya Cedars Sinai iliyopo Angeles wiki iliyopita baada ya kuanguka kifafa kutokana na ripoti za gazeti la New York Daily News ilitoa taarifa ya kuanguka kwake

Hata hivyo rapa huyo kwa sasa anaendelea vizuri kwa mujibu wa ujumbe alioutuma kwenye account yake ya mtandao wa kijamii Twitter
"Niko poua kila mtu, asante kwa maombi yenu" ujumbe wake ulisomeka hivyo kwenye ukurasa wake wa twitter

No comments:

Post a Comment