Majuto anasema kuwa kama atatokea muandaaji na kutoa tuzo bora kwa msanii na yeye akawa mshindi basi lazima ajipangie zawadi. Mimi umri umeenda sana na nafikiria kustaafu, najua kuna watu ambao wanasema kuwa mimi ni bora, sikatai ni kweli mimi ni bora kwa hiyo ikitokea utoaji wa tuzo na mimi nikawa muigizaji bora zawadi ninayoitaka ni trekta ili nikamalizie uzee wangu kwa kilimo bora na cha kisasa,�anasema King Majuto. King Majuto msanii mwenye masihara kila anapozungumza na watu amesema kwamba suala la kutaka apatiwe trekta ni kweli wala hatanii kama ambavyo wengi wamemzoea. |
Monday, March 18, 2013
KING MAJUTO AGOMA KUGOMBEA TUZO ZA WAIGIZAJI MPAKA ZAWADI IWE NI TREKTA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment