Thursday, July 18, 2013

Tattoo Mpya Ya Justin Bieber Na Inamuhusu Nani

Justin Bieber ameamuakuongeza tattoo nyingine katika mwili wake na safari hii ameamua kuchora jicho la mama yake mzazi katika mkono wake akiwa anamaanisha kuwa, wakati wote mama yake anamuangalia kuhakikisha kuwa michongo yake inakwenda sawa, itazame hapa.


No comments:

Post a Comment