Friday, May 17, 2013

NAY WA MITEGO & DIAMOND PLATNUMZ KUMTOA RASMI MWALI JUMAMOSI HII, DARLIVE...!!

Ilikuwa safari ya Kukesha na Kuandika Studio.....
Umeme kuzimika...!
Siku 14 kukaa chini kuwapikia watanzania mahakuli
ili mioyo yao iende saawia.....!!
Nyimbo ikatoka watanzania wakaipokea kwa
Amani na Furaha tele....!!
Tukaona isiwe kesi wala Deni.....Tukaa kaa chini kiufundi
zaidi kuwapikia video...!!
Sasa ule wakati umewadia ambao maelfu kwa malfu ya
watanzania nchini kote walikuwa wakiusubiria..!
Jumamosi hii Along side with My Great Man Nay wa Mitego
The mastemind....Tunakuja tena
kuwarudishia shukrani kwa mapokeo ya nyimbo.......
Jumamosi Hii ndani ya Darlive pale pale Mbagala......Nay wa
Mitego & Diamond Platnumz
Tutaenda kukinukisha Vilivyo.....Nataka
wewe uwe shaidi,Uje
kutoa uhamuzi nani mkali
kati ya Hip Hop au Bongofleva...wale wagumu au
sisi wabana pua.....!!
Nataka udhiirishe yale aliyosema Nay kwenye
 Show Viuno Mbele Mbele.....!
Nataka wewe uje uwe shaidi uone nani atakaa kati yetu
.....Alafu Baada ya Hapo
Kile kichupa cha Dunia tutakitambulisha Pale
 pale kama shukrani kwenu......!!
Kwa Kiingilio cha 10,000/= ya Kitanzania,kuanzia
saa 1 had majogoo....!!

HII SI YA KUKOSA...USINGOJE KUADISIWA
NJOO USHUUDIE MWENYEWE
BONGOFLEVA VS HIP HOP...

No comments:

Post a Comment