Wednesday, April 17, 2013

REBOOK WASITISHA MKATABA NA RAPPER RICK ROSS

Rick Ross apata fundisho juu ya ubakaji na pesa....
ukikumbatia kimoja unakosa kingine...kwasababu sasa hivi Reebok wamemtema Ricky Ross
kama unakumbuka niliripoti wiki moja iliyopita kuhusu majaribu
 aliyoyapata Ross kutokana na wimbo wake U.O.E.N.O, ambao
 kwa furaha zote amesikika akisema "Put Molly [Ecstasy] all in
 the champagne.  She ain't even know it.  I took her home and I 
enjoy that.  She ain't even know it."  Tafsiri yake -- ubakaji. ingia
 hapa kama ulikosa kusoma
 http://djfetty.blogspot.com/2013/04/yaliyomkuta-bonta-
yamemkuta-ricky-ross.html
Reebok imezungumza na TMZ na kusema...."Reebok inashikilia 
washirika wetu kwa hali na dhamani ya juu, na sisi tuntarajia wao
 kuishi kwa mujibu wa maadili ya bidhaa zetu. Kwa bahati mbaya,
Rick Ross ameshindwa kufanya hivyo. '
Reebok waliendelea na kusema: wakati hatuamini kama Rick Ross
 anasapoti ubakaji au unyanyasaji wa kijinsia, tumesikitishwa sana kwa 
kushindwa kuonyesha uelewa wa uzito wa hilo jambo au kusikitishwa 
ama kujirudi juu ya hilo jambo"
inaswezekana presha walioipata Reebok kutoka kwenye mitandao
 mbali mbali ikiwa ni pamoja na grupu la wanawake zaidi ya 150 
wahanga wa ubakaji walipoandamana kuelekea kwenye ofisi zao 
nakudai kumtema Ross kama muwakilishi wao kwasababu anasapoti ubakaji

No comments:

Post a Comment