Wednesday, April 17, 2013

DIAMOND AZIDI KUKUBALIKA ZAIDI NJE YA NCHI

Mwanamuziki wa bongo fleva,Diamond platnumz amezidi kutamba zaidi na kukubalika
nje ya nchi sana zaidi ya sana....!! halii hii inakuja baada ya shabiki kutoka bondeni kwa
babu mandela alipoamua kuchora picha ya diamond na kisha kuiweka kama kumbukumbu
kwenye duka lake Nchini humo......!!
hii inaonesha jinsi gani kijana huyu anaekimbiza kwenye game ya muziki wa bongo kwa
sasa anavyopendwa sehemu mbali mbali nje ya nchi...!!

No comments:

Post a Comment