Monday, July 15, 2013

CHEKI HAPA MJI MZURI KULIKO YOTE DUNIANI NA VYANZO VYAKE....

Kama utakuwa na kumbukumbu basi moja ya makala ambazo
nimekuandalia huu ni mwendelezo wake...
Makala ya Jinsi Dubai ilivyokuwa hadi leo walivyowekeza
na vitega uchumi,nikiwa nimekuonesha sehemu
mojawapo za vitega uchumi vya nchi hii ya falme za kiarabu......

Picha hizi utakazoziona hapa ni picha halisia za maendeleo ya nchi
hiyo mojawapo unaweza kujionea
jinsi mfano wa Mti wa Mnazi na Matawi yake lakini hapa unajionea
mti huo ukiwekwa baharini ukitengenezwa
kwa kusukuma maji na kujenga makazi ya watu na hoteli za kitalii..
Kama ulikuwa hujui basi acha nikujuze hapa,kwa sasa Dubai ndio
Mji mzuri kupita miji yoyote duniani
kutokana na vitega uchumi kama hivi,ni ajabu kuona au kufikiria
kufanya kitu kama hiki,cha kwanza yahitaji moyo
cha pili yahitaji ushirikiano na moja ya hela zilizotumika ni
kodi za wananchi na hela ya serikali....
Hii inatokanaje.......? Je wajua?? Serikali yenye watendaji
Imara na Uadilifu wanaweza kufanikisha mambo kama haya
kuzuia ufujaji wa hela na rushwa huku Dubai rushwa ni adui namba
moja na kutokana na sheria ya nchini humo
ukipokea rushwa ni kuhukumiwa kunyongwa........
Hali kama hiyo inatisha hadi viongozi na kuamua kujitolea
kufanya kazi kwa hali na mali
kufikia kuwaletea maendeleo wananchi wake.....
Picha hii ni mwonekano wa kaskazini wa mfano wa mti wa
mnazi uliotengenezwa nchini dubai
ndani ya bahari,unaweza kuona majengo marefu na hata
 njia mbalimbali za magari....
Picha halisia ya kile nilichokuelezea kwa juu hapa unaweza kuiona saawia kabisa....
Kusini mwa Mti huu unaweza kuona sehemu hii shuguli mbalimbali zinafanyika...

Picha ya Juu kabisa unaweza kuona mandhari ya kitu nachokuelezea
na kuvuta taswira ya kile nilichokujuza
pale juu....
Hiki ni kitu kingine kabisa.....Angalia picha hii kwa umakini
 utatambua kitu kama mimi nachokuambia,
ni ramani ya dunia ikiwa imetengenezwa mita 10,000 kutoka usawa
wa nchi kavu wa bahari nchini
dubai.....Unaweza kuona kitu hiki ni cha ajabu kabisa lakini ni
kweli kipo kabisa na kama unavyshuudia wewe
mwenyewe....
Mfano wa mti wa Mnazi unavyoonekana kwa usiku wakati wa
 ufunguzi wa sehemu hiyo iliyotengenezwa
na mafundi na Wakandarasi waliobobea kutoka nchini Uholanzi kwa
 muda wa miaka 4 kujenga kitu
hiki na imegharimu zaidi ya dolla Bil.8 za kimarekani kufanikisha ujenzi huu....
Angalia mandhari ya eneo ili lililojengwa kwa ramani ya
 dunia na unavyoona ni makazi ya watu
wanaishi kabisa ndanio ya ya ramani hiyo ya dunia....
Mandhari zahiri ya Sehemu husika pembezoni mwa ramani
ile ukiona sehemu za pembeni ni nyumba na
hoteli za kitalii ....!!                     









Home Biography Videos Lyrics Contact Us Baada ya habari kusambaa kuwa Agness Gerald na Melisa Edward wamekamatwa na madawa ya kulevya SA. Agness ajibu

Baada ya habari za kukamatwa kwa mtanzania Agness Gerald na Melisa Edward, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya "Godfrey Nzowa". Agness Jerald ambae wengi wanahisi ni  Aggy Masogange ambae pia yuko nchini South Africa mpaka dakika hii, (ambapo haijajulikana kama ni yeye kweli) ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya kutangazwa kwa habari hizo.
masaa matatu yaliyopita Aggy alipost picha hii hapo chini na kuandika maneno haya
 na baadae kupost pichaa hii yenye caption hiyo hapo chini


jessolomon@renatusleonard naomba nijuze kunani??

tarinawhtIn my prayers doll,fanya yko darling let them talk❤@aggnesfineassgirl

carlozvellaWataongea sana ila yako yanafika utakapoooo

aggnesfineassgirlHahahah si umeitwaa unagoma bby @mattynemo

aggnesfineassgirl@wemalicious hahahaha bby usiniuee uwiiiiii

carlozvellaAchana nao RESPECT KWAKO @aggnesfineassgirl

aggnesfineassgirl@chaggabarbie ��������

albertmgangajrAkili za wabongo bhana,achen unafiki jaman!!!wait n see

asmakarimPole no kweli umekatwa dear

hasnajalangoMh muulize wewe maana kang'ang'ana keshasema keshasema......amesea wapi nini ama udaku 2...@jessolomon

msafirijoab123Daaaaaaa wambea wanyamaze kabsa@aggnesfineassgirl

shinda2013Everybody can update the pics..

mattynemoNakuja soon... ngoja too mizigo iishe dar panachosha...@aggnesfineassgirl

minashabaniMumy nimekuwazia mengi nakukusikitikia sana@aggnesfineassgirl mwenyezi mungu akusaidi kama nikweli upo pouwa na afute hizi husda za midomo yawatu waliyo kuchuria mumy wangu

mariyumiisaidOhghogh***

leahna1112Pole sana mumyto kwanini wanakusingizia hivyo? Pls ukirudi wafungulie kesi haiwezekani wakuchafulie Jina kiasi hichi

achunbaaSasa hawa watu wanazusha maneno ya kisenge manake nn lkn

mpolesam@wolpergambe akupigii ngoo sababu sio yeye na ukimwambia ukweli anakublock ni mumewe anawazuga watu wanyamaze

nishabebee88Tunasemaga BUH BUH BUH likimpata mtuu timua vumbiiiiiii BUHHHHHHHHHHHH .. love u bby boo

biancaselishaYaani nasema wakukome My bebe

aggnesfineassgirlAs usual we present home city @linahbaby

salmakbarbinadamu haswa watz tumezoea kuona wenzetu wasiendelee wakuache mumy wng @aggnesfineassgirl , miss kisses

dadizgalJmn baby am glad ur back missed u booboo@aggnesfineassgirl

dminajmamy nlikumic nmeskia nkajua kwel wacha inpain

cutebeathaDaah pipo r bad.....mmxwhiii.....lov u kipenz

ladyhossyDuh pole kwa kuzushiwa

sandytemumungu mkubwa jamani.dah..nicheki pliz@aggnesfineassgirl

zhussein777hata ingekuwa kweli its non pipoz bussnes .... unatafuta zako huwa tafutii wao kula zako maisha @aggnesfineassgirl

latty3941Na mi nahc

aggnesfineassgirl@nishabebee88 lov u moo bby akeee

aggnesfineassgirl@nassorosalma ����������

aggnesfineassgirl@sandytemu nimewipe fone chek m on insta nkupe no yg ya huku

aggnesfineassgirlMis u moo bby bby @dadizgal

tarinawhtAm hapi������,watasonyajeeeeee!!do ur thing hun achana na wazushi Kama nawaona hii hii ���� dats y I lov u@aggnesfineassgirl

mamyluqMimi midomo yangu bado iko wazi uku kungekuwa na nzi ningemeza nzi nilivyoshaangaa wabongo tumefikia apa mtu anaropoka tu duuu pole mdada ila du

msafirijoab123Wanafiki walie2

levimkush@aggnesfineassgirl y pipo wanakusaka hvo mamii! Temana nao. Lov ya muuuuuuuch!