Friday, May 17, 2013

KUA WA KWANZA KUIONA GARI YA MERCEDES S-CLASS ILIYOPO SOKONI AMBAYO INAJIENDESHA YENYEWE BILA DEREVA


IT was one of the most spectacular car launches ever.

A new model billed the Best Car In The World, a singing superstar and the planet’s most advanced aeroplane. 
The Mercedes S-Class lived up to its billing – it’s the first car that can drive itself and is a limo capable of 64mpg. 
And the Merc was perfectly in tune as its first passenger was Alicia Keys. 

The American singer was the star turn at the launch show in Germany. 
There was even a thunderstorm as the car drove down the runway and into a hangar at the Hamburg HQ of the Airbus A380, in front of the 800 invited VIP quests. 
Here’s the full review from the unveiling of the new Mercedes S-Class 




CALLING a new vehicle “the best car in the world” has to be either misplaced arrogance or justified confidence. 
That is the risk Mercedes took by making the claim at the VIP launch of their flagship S-Class model in Hamburg.
Just as well, then, that the car appears to have all the qualities to back up the bold boast, including being the first one that can drive itself in heavy traffic!
The steering assist and stop-go pilot mean it can steer, brake and drive itself automatically at speeds of up to 30mph in traffic jams.
The driver can, of course, always regain control.
The car also has a brake system that detects pedestrians or vehicles in front in city traffic, and can self-brake to avoid a crash.

The system can also recognise a potential rear collision and put on the rear hazard lights. 
These factors justify another Merc claim — that the S-Class is “the safest car on the road”. 
And how about this for a ground-breaking development? 
It has the first car suspension with “eyes”. It uses camera scanners — dubbed Magic Body Control — to detect bumps on the road ahead. 
When it sees one the vehicle then automatically adjusts the dampers and suspension on each wheel to a firmer or softer setting to give a magic carpet ride across potholed surfaces — perfect for UK roads. 


The backrests recline to 45 degrees, the heated seats have an energising massage function and even the armrests can be heated or cooled. But it’s not all about relaxation. 
You get working desks in the back, plus two DVD screens which can be linked to the web for connectivity, along with a mega-music system, all of which can be operated from an app on your phone.
There’s even a climate control with air balance and an active perfuming system with four different smells to waft around the cabin! 
Also, 115 years after cars were first fitted with electric headlamps, the S-Class is the first car since to have virtually NO lightbulbs — although its 500 LEDs mean it won’t leave you in the dark. 
Smooths out potholes ... Mercedes S-Class
The new S-Class is very much the Airbus of motoring. 
It’s a trailblazing, advanced trendsetter for business high-fliers when they are on the ground. 
Over the years the car has been the best-selling luxury limo. 
Alongside its high-spec standards it has always been at the forefront of technology, a winning recipe which has made it the favourite wheels of executives and politicians. 


And the new model has much more road presence with its prominent and upright chrome grille, long, raking headlights leading to a long bonnet and a sleek, coupe-like roofline. 
We will have to wait to test drive the S-Class to see if it delivers “the best driving experience”, but no other car can touch it for technological innovations and safety. 

Only a Rolls or Bentley challenge it for out-and-out luxury — this is five-star motoring.
On sale in the UK this autumn, the price is yet to be confirmed but expect a range from £65,000 all the way up to £170,000.
A fitting price for a car Mercedes believe to be the best in the world. 

HII NI MOJA KATI YA STYLE MPYA YA KUVAA YA JUSTIN BEIBER EBU TOA MAONI HAPO TUONE KAMA KATISHA AU VP......!





INAWEZEKANA WASANII WAWILI WA THT LINAH NA BARNABA WAKATUPIWA VILAGO VYAO NJEE....


Na *****************Andrew Chale
KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’  huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba  mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi wa juu.

Kwa mujibu wa vyanzo kutoka kwa mtu wa karibu wa Linah kilieleza kuwa mpaka sasa msanii huyo hana raha na wala hajui ataanza vipi katika harakati zake za kimuziki hasa kufuatia hivi karibuni kukacha shoo ya nguli Lady Jay Dee kwa shinikizo kutoka kwa wakubwa zake.

Hata hivyo, Linah inadaiwa uongozi wa juu umekaa kikao na hatua iliyofuatia kwenye kikao hicho ni kuwaondoa kabisa kwani huenda wakatia doa wasanii wenzao ndani ya kundi hilo.

“Juzi Lina,haikuwa kawaida yake maana hata alipopigiwa simu na ** kwa ajili ya hatua zingine alionekana kuw na hofu, na wala hakutaka kusikia ushahuri wangu ambao nilikuwa nikimhusia kuwa aachane na mawazo hayo kwani jambo analoliwaza huenda likaisha na hata maamuzi yatakayotoka yatakuwa ni kawaida” kilieleza chanzo kutoka kwa mtu wakaribu wa Lina, amabaye hata hivyo alisema kuwa huenda ukweli wa jambo ukawa hadharani.

Hata hivyo taarifa za ndani za uongozi wa THT zilibainisha kuwa mpango wao wa kuwashughulikia wasanii hao upo pale pale na taratibu zinafuata ilizisilete madhara kwa wasanii waliopo ndani ya THT  na watu wa karibu wanaoiunga THT.

“Wewe nani kakwambia kama tumewaadhibu Lina na Barnaba?, ndio kwanza tunakusikia wewe hizo taarifa,  sisi tunafanya mambo yetu wao waache wafanye yao tukiwa nao sie na tunaouwezo wa kuwatimua ilikulinda hadhi ya THT” Kilieleza chanzo hicho ambacho hata hivyo kutokana na usalama wa jina lake tumelihifadhi. Ambapo namba yake inaishia na**08.

Aidha, katika ‘ku-balance’ huondo kamili wa habari hizi wasanii hao wote walipotafutwa kwenye simu zao za mkononi lakini hawakuweza kuwa hewani kwa muda mrefu.. na hata alipopigiwa mtu wao huyo wa karibu naye alizima simu.

Katika kile kinachoeleza kupamba moto shoo hiyo, na kujaa kwa taarifa mbalimbali juu ya wasanii watakaopamba shoo ya miaka 13, Mei 31 ndani ya Nyumbani Lounge, Tayari tiketi zimeanza kuuzwa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Saalam.

Shoo hiyo ya kijanja Nyumbani Lounge, patakuwa hapatoshi pale wadau wa burudani na wastaarabu wote watakapojumuika kwa pamoja ku-shoo love kwa Lady Jay Dee  na Machozi Band, huku listi ya mastaa mbalimbali wanatarajia kuudhuria sambamba na ‘surprise’ kutoka kwa mastaa hao ambao kwa sasa wengi wapo kimya wakihofia kutengwa na wazee wa ‘fitina bin Logiki’.

Awali kulikuwapo na taarifa za kuwapo kwa msanii Matonya, ambaye hata hivyo mtandao wa Lady Jay Dee ulitoa hadharani kuwa mwanamuziki huyo ameshachukua ‘advance’ ya shoo hiyo na wazee wa ‘kuingilia logik’ wameshamtisha Matonya ili ajitoe, lakini akiwa ameshatafuna pesa ya watu.
Mtandao huo wa kijamii  blog, ilinukuu kila kitu juu ya Makubaliano baina ya Capt.Gadna G Habashi na Matonya ambapo pia unaweza kuyasoma kupitia (Ladyjaydee.blogspot.com) Pia ulitoa kwa mara ya kwanza picha,maelezo muhimu na video ya wanamuziki hao wawili Linah na Barnaba wakiingia mkataba wa shoo hiyo na pia kuhamasisha watu kufika Mei 13..

**KWA TAARIFA ZAIDI  KWA KINA JUU YA BARNABA NA LINAH, usikose kuzisoma katika gazeti la Tanzania Daima ** Pindi watakapopatikana tutaweka hadharani kila kitu.

PICHA: ANGALIA HIZI PICHA 2 HALAFU NIAMBIE KWAMBA HAPO RIHANA KAVAA MITEPWESHOO AU VP...!




PICHA: HUSNA AKANA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANA FA..!!

“Sijawahi kutoka na Mwana FA, zaidi ya kufanya naye tangazo
 ambalo niliombwa na dada’ngu, Mboni Masimba nikafanye 
naye kwa ajili ya shoo ambayo anaiandaa hivi karibuni, 
wanaonihusisha na mapenzi na Mwana FA hawanitendei
 haki hata kidogo maana sijawahi hata kuwa na wazo 
naye,” alisema Husna Maulid.

NAY WA MITEGO AMTUPIA KIJEMBE DIAMOND KWAMBA ATAMKALISHA SIKU YA KESHO PALE DAR LIVE...!!

Katika hali ya Amani kimuziki Msanii Nay wa Mitego amemrushia 
vijembe Msanii mwenzake 
Diamond Platnumz Jionii ya Leo......''
Niliamua kumwendea hewani Nay wa Mitego Kujua kajianda vipi
kuhusiana na Show ya kesho
Usiku Darlive......Na Mnukuu Nay wa Mitego akifunguka
 baada ya swali aliloulizwa,
Nay''Napenda kumwambia bwana mdogo Diamond kuwa kesho
akae tayari kwa kuwa naenda kuandika
Historia Mpya Darlive,Nataka watanzania wote wajitokeze waje
 kuona navyomkalisha mbana pua
na wavaa nguo za dada zao wanaojidai kwenda sawa na utandawazi......''
Nay alizidi kufunguka kuwa kesho ndo utakuwa mwisho wa
Diamond na kumthibiishia
kuwa Hip Hop ndo muziki unaolipa na wenye maana zaidi......!!

Hayo ndo maneno aliyoyatoa Nay dakika chache zilizopita
alivyopigiwa na Mwandishi wa This Is Diamond
Kuhusiana na Show kubwa kesho Darlive......

Stay Tuned Nitamuenda Hewani The Kid From Kigoma baada ya
kumfikishia ujumbe huu wa Nay...
Je maneno hayo kakubaliana nayo....?
 Stay here kusubiria jibu la Diamond Juu ya ujumbe huu.....!!


JAH RULE AMETOKA JELA NA MVUTO WA HATARI, MCHEKI HAPA


Rapper Jah rule ametupia picha yake kupitia mtandao wa instagram ikimuanyesha akiwa na mwili wa mazeoze tofauti na alivyoingia jela. inaonekana alikua akipiga chuma wakati akitumikia miaka yake miwili aliyokuwa amefungwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria na tax evasion

MIAKA MICHACHE TU BAADA YA KUFARIKI MICHAEL JACKSON, MWANAUME HUYU AMFUNGULIA MJ MASHTAKA KUA ALIMDHALILISHA KIJINSIA


When Michael Jackson was alive, Wade Robson testified in his defense during his child molestation trial. Four years after his death, Wade is claiming he was sexually abused by Michael.

The popular Australian choreographer and former close friend of the late pop legend claimed last week that Michael Jackson sexually abused him from ages 7 through 14, when he regularly stayed at Neverland Ranch. He has filed a lawsuit against the Estate of Michael Jackson asking for compensation for years of abuse.

Wade appeared on the Today Show today and went into detail about his abuse. Wade told Matt Lauer: 
"I've lived in silence and denial for 22 years and I can't spend another moment in that...."
"...Michael Jackson was yes, an incredibly talented artist with an incredible gift. He was many things. And he was also a pedophile and a child sexual abuser. He performed sexual acts on me and forced me to perform sexual acts on him."

BAADA YA KUWEPO HOFU YA MAANDAMANO, MJI WA MTWARA WATAWALIWA NA UKIMYAA, SHUGHULI ZA SIMAMA, ULINZI KILA KONA.


Mji wa Mtwara ni sehemu ya pilika pilika ya watu lakini leo hali si hivyo na katika kituo kikuu cha mabasi cha Mtwara hakuna basi lililoingia au kutoka kutwa nzima leo.

clip_image002Ulinzi umeimarishwa kila konaclip_image002[14]Soko Kuu, kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu asubuhi.

Na Abdulaziz Video,

Hali ya usalama ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ni tete. Soko Kuu, kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu asubuhi. Usafiri wa Pikipiki unapatikana katika baadhi ya maeneo machache ya mji, huku maneo makuu ya biashara yakiwa wazi bila ya pilikapilika za watu kama ilivyo kawaida.

Polisi wakiwa kwenye magari wameonekana katika maeneo mbalimbali ya mji, na wengine kuweka makambi madogo katika maeneo yanayoaminika kuwa na msongamano wa watu katika siku za kawaida. 
Mwandishi huyu ameshuhudia magari ya polisi yakiwa na askari katika maeneo ya Bima, Soko kuu ambako pia kulikuwa na gari la kumwaga maji ya kuwasha, Magomeni, Skoya na Majengo. 
Hata hivyo hadi kufikia saa 7 mchana hakukuwa na hali yeyote ya uvunjifu wa amani, makundi ya vijana walionekana wakijadiliana mambo katika maeneo mengi ya mji. Hali hiyo imejitokeza kufuatia kusambazwa kwa vipeperushi na ujumbe wa simu za mkononi na watu wasiojulikana ukiwataka wafanyabishara kusimamisha shughuli za biashara kwa siku ya (leo) jana ili kutoa fursa kwa wananchi hao kusikiliza bajeti ya Nishati na Madini iliyotarajiwa kuwasilishwa leo Bungeni mjini Dodoma. Hata hivyo bajeti hiyo itawaslishwa Bungeni Mei, 22, mwaka huu. 
Sehemu ya kipeperushi hicho kilichopambwa na picha ya mtoto aliyeshikia kombora kinasomeka “Wote kwa pamoja siku ya tarehe17.05.2013 (Ijumaa saa 3 asubuhi) tusikilize bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini (Bungeni) ili kujua mustakabali mzima wa gesi yetu na ili kuonyesha kilio, msimamo wetu kwa serikali wa kutaka maendeleo kwa mikoa ya kusini, siku hiyo huduma zote za jamii zisimamishwe” 
Licha ya polisi mkoani hapa kuwasihi wananchi kuendelea na shughuli zao kama kawaida kwa kuwa jeshi hilo litaimarisha ulinzi bado wananchi wameonesha kutokubaliana na wito huo. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa ameliambia amesema kuwa hali ni shwari na kwamba jeshi lake limeimarisha ulinzi. 
“Hali ni shwari, wapo madereva Bodaboda wanaendelea na kazi zao, wananchi wanatembea kama kawaida, ispokuwa baada ya maduka yamefungwa” alisema Sinzumwa

HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA, UCHEKI HAPA


 
HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA... JE' HII NI WAZI JIDE NI KOMANDO MPAKA JAMBO LILE LINAFIKIA HATUA HII???

MAGUFURI AGEUKA JOTI BUNGENI, HIVI NI BAADHI YA VICHEKESHO ALIVYOTOA BUNGENI. SOMA HAPA

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli ndiye waziri namba moja hadi sasa kwa kulivunja mbavu Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma kutokana na vichekesho vyake wakati alipokuwa akijibu hoja za wabunge mbalimbali hivi karibuni.
Magufuli ambaye wengi humuita ‘Jembe’ kutokana na uchapa kazi wake, alikuwa akiwasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa Shilingi Trilioni 1.22 kwa mwaka wa fedha 2013/14. 
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli.
Mheshimiwa huyo alimudu kuwafanya waheshimiwa wacheke sana huku ujumbe ukifika tofauti na mawaziri wengine waliopita ambao hotuba zao zinadaiwa kuwa zilijaa ushawishi wa usingizi. 
“Tunajenga barabara kwa kiwango cha lami kutoka Dodoma kwenda Iringa, wale watani zangu wa Iringa hawatakuwa na haja ya kujinyonga kwenye miti, sasa watakuwa wakilala barabarani tu.”
Wabunge walivunjika mbavu kwa vicheko. Watani zake alimaanisha Wahehe ambao inadaiwa wanapokuwa na hasira wana tabia ya kujiua kwa kujinyonga (ni madai).
Kama vile haitoshi, waziri huyo akijibu swali la Mbunge wa Same Mashariki, Mheshimiwa Anne Kilango Malecela kuhusu barabara inayopita kwenye Kiwanda cha Tangawizi kupewa hadhi, pia alitumbukiza utani.
“Mheshimiwa Anne Kilango yale uliyosema tunayafanyia kazi, kuhusu barabara inayopita Kiwanda cha Tangawizi kupewa hadhi tumepokea, maana pia mheshimiwa rais alitupa maagizo.
“Nimeamini una akili sana ndiyo maana mtani wangu Malecela alitoka Dodoma na kwenda milimani Same huko, kwa nini hakuja usukumani?” 
Aidha, waziri huyo akimjibu Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ambaye alitoa ushauri kwa Wizara ya Ujenzi kupunguza idadi ya miradi na kukamilisha mmoja baada ya mwingine ili wizara iweze kufanikiwa huku akilalamikia kutojengewa barabara jimboni kwake, Magufuli aliwavunja mbavu tena wabunge:
“…ushauri wako ni mzuri ndiyo maana wizara yangu imeamua kuacha kujenga barabara jimboni kwako ili tukamilishe sehemu nyingine kwanza…”
Hata hivyo, wakati wabunge wakivunjika mbavu, Magufuli alisema Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) haina ubaguzi na itajenga barabara hiyo iliyoko jimboni kwa mbunge huyo.
Akimjibu Mbunge wa Viti Maalum (CCM –Bunda), Ester Bulaya ambaye alisema kwamba anamkubali waziri huyo kutokana na utendaji wake, Magufuli naye alisimama na kusema:
“Hata mimi namkubali Ester Bulaya...”
Aidha, Magufuli aliwashangaa wabunge wa upinzani ambao walionesha kutaka kumpinga na kuwaambia kuwa bosi wao, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alionesha kumkubali na kuzimwagia sifa sera za CCM baada ya kukamilishiwa barabara iliyoko jimboni kwake Hai, Kilimanjaro.
“Kama kuna mtu anabisha ushahidi uko hapa aje nimuoneshe, mheshimiwa aliandika kwenye mtandao (akautaja jina zima) kisha akasema kama mtu haamini akatoa flashi yenye sauti aliyodai ni ya Mbowe.
VIDOKEZO VINGINE:
Alimwambia mbunge wa upinzani ana moyo wa CCM CCM, amekaa ki-CCMCCM.
Katika kutekeleza uvunjaji wa nyumba zilizoingilia hifadhi ya barabara aliwahi kuvunja ukuta wa nyumba ya baba yake mzazi.

BAADA YA TID KUJITOA SHOW YA JIDE WATU WAMSHAMBULIA FB, CHEKI MWENYEWE HAPA


 

 
Chini ni jinsi watu walivyo Mshambulia DIT
Tid aliandia leo kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu kujitoa kwenye show ya Mwanadada  Lady jay dee...!!

SNU THE SEXY SNURA KUDONDOSHA VIUNO IRINGA.........!!!

NAY WA MITEGO & DIAMOND PLATNUMZ KUMTOA RASMI MWALI JUMAMOSI HII, DARLIVE...!!

Ilikuwa safari ya Kukesha na Kuandika Studio.....
Umeme kuzimika...!
Siku 14 kukaa chini kuwapikia watanzania mahakuli
ili mioyo yao iende saawia.....!!
Nyimbo ikatoka watanzania wakaipokea kwa
Amani na Furaha tele....!!
Tukaona isiwe kesi wala Deni.....Tukaa kaa chini kiufundi
zaidi kuwapikia video...!!
Sasa ule wakati umewadia ambao maelfu kwa malfu ya
watanzania nchini kote walikuwa wakiusubiria..!
Jumamosi hii Along side with My Great Man Nay wa Mitego
The mastemind....Tunakuja tena
kuwarudishia shukrani kwa mapokeo ya nyimbo.......
Jumamosi Hii ndani ya Darlive pale pale Mbagala......Nay wa
Mitego & Diamond Platnumz
Tutaenda kukinukisha Vilivyo.....Nataka
wewe uwe shaidi,Uje
kutoa uhamuzi nani mkali
kati ya Hip Hop au Bongofleva...wale wagumu au
sisi wabana pua.....!!
Nataka udhiirishe yale aliyosema Nay kwenye
 Show Viuno Mbele Mbele.....!
Nataka wewe uje uwe shaidi uone nani atakaa kati yetu
.....Alafu Baada ya Hapo
Kile kichupa cha Dunia tutakitambulisha Pale
 pale kama shukrani kwenu......!!
Kwa Kiingilio cha 10,000/= ya Kitanzania,kuanzia
saa 1 had majogoo....!!

HII SI YA KUKOSA...USINGOJE KUADISIWA
NJOO USHUUDIE MWENYEWE
BONGOFLEVA VS HIP HOP...