Thursday, March 28, 2013

PICHA 2: MARIO BALOTELLI AMESEMA MAPENZI YA UKWELI KUTOKA KWA HUYU BINTI NDIO YAMEMSAIDIA KUPUNGUZA MAWAZO WAKATI ANAHAMIA AC MILAN.


Mario Balotelli Akiwa Na Fanny Robert Neguesh 

Anaitwa Fanny Robert Neguesh Na Kila Anapokwenda Mario Na Yeye Yupo Ni Kama Mapacha Alisema Balotelli

Monday, March 18, 2013

 

 

VIDEO: TI AKIWACHANA TMZ NA MITANDAO MINGINE KUFUATIA RIPOTI YA HALI YA LIL WAYNE

No comments:

CHEKI ALICHOKIFANYA WIZKID KAMA SHUKRANI KWA KUFANIKIWA KIMUZIKI

No comments:
Kufuatia mafanikio makubwa kimuziki ambayo msanii wa muziki wa Naijeria, Wizkid ama Weezy kama anavyojulikana sasa, mwishoni mwa wiki aliamua kufanya kitu cha kipekee huko Lagos kwa kufanya onyesho la bure kwaajili ya mashabiki wake.

Wizkid mwenyewe amesema kuwa ameamua kufanya hivi kutokana na ukweli kuwa kipaji cha kuimba amekipata bure bila kumpa Mungu kitu chochote.

Zaidi ya kupiga show bure, Msanii huyu pia aliamua kugawa mpunga kidogo kwa wapenzi wa kazi zake ambao walikuwa na bahati na hii ndiyo video ambayo inaonyesha mambo yalivyokuwa;



EXCLUSIVE: VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO: ONE TIME

No comments:

#AJABU: HUYU NDIYE MWANAUME AMBAYE ANATARAJIWA KUFANYIWA OPARESHENI ILI KUWEKEWA UUME

No comments:
Historia mpya inakaribia kuandikwa duniani baada ya mwanaume ambaye anajulikana kwa jina Andrew Wardle, kutoka Stalybridge, Greater Manchester huko Uingereza ambaye alizaliwa bila uume, kufanya mpango wa kutengenezewa na kuwekewa kiungo hicho kwa njia ya oparesheni.
Andrew Wardle
Mwanaume huyu ambaye kwa sasa anaumri wa miaka 39, anatarajiwa kuwa mwanaume wa kwanza kabisa duniani kufanyiwa oparesheni kama hii na ajabu zaidi ni kwamba, kiungo hiki kitatengenezwa kutoka sehemu ya mkono wake.
Andrew Wardle
Katika mahojiano yake na mtandao wa The Sun, Wardle mwenyewe anasema kuwa, hakuwahi kufikiria kutokea kwa siku ambayo anaweza kupata kiungo hiki muhimu kwa mwanaume na ambacho kinafanya kazi sawasawa, na endapo itakuwa ni ya mafanikio, ataanza kuishi kama mtu wa kawaida.



Madaktari kutoka chuo kikuuu cha London tayari wameshakiri ugumu wa zoezi ili lakini wamesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa.

Katika hali yake aliyokuwa nayo sasa, Wardle anadai kuwa amekwishawahi kulala na zaidi ya wanawake 100, na asilimia 20% tu ya wanawake hawa ndio alioweza kuwaambia ukweli.

Wardle kwa sasa anafanya kazi kama mlinzi, mpishi na mhudumu na katika historia yake, amekwishapata matukio mbalimbali ya kunyanyaswa kutokana na hali yake na kupoteza marafiki kadhaa wa kike, na amekwishakuwa akijihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya kama kitu cha kumfariji.

BURUDIKA NA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH FT BEN POL - KARIBU DAR

No comments:

MANENO MAKALI YA SONGA KWA DIAMOND NA NEY WA MITEGO YAKO HAPA.

No comments:

Baada ya reaction tofauti tofauti za watu na wengine kusema kuwa anajitafutia promo Aliandika Hivi.


Songa

LEO BIRTHDAY YA PETER MSECHU, HII NDIO MPYA KUTOKA KWAKE LEO.

No comments:
Peter Msechu


PICHA 2: ILI MACHO YAKO YASICHOKE KWA STYLE MOJA YA NYWELE,BOB JUNIOR AMEZIBADILISHA HIVI.

No comments:

Bob Junior Anapenda Kuwa Na Muonekano Tofauti Kila Mara Na Nikama Mvuto Kwa Mashabiki Wake. Tarehe 19 March Ni Birthday Yake ila Kwa Sasa Hayupo Tanzania. Bado Yupo Ulaya Kwenye Tour Ndefu. Show Yake Nyingine Ni Tarehe 29 Mwezi Huu Na Itakuwa Nchini Denmark.

#AJABU: HUYU NDIYE MWANAUME AMBAYE ANATARAJIWA KUFANYIWA OPARESHENI ILI KUWEKEWA UUME

Historia mpya inakaribia kuandikwa duniani baada ya mwanaume ambaye anajulikana kwa jina Andrew Wardle, kutoka Stalybridge, Greater Manchester huko Uingereza ambaye alizaliwa bila uume, kufanya mpango wa kutengenezewa na kuwekewa kiungo hicho kwa njia ya oparesheni.

Andrew Wardle
Mwanaume huyu ambaye kwa sasa anaumri wa miaka 39, anatarajiwa kuwa mwanaume wa kwanza kabisa duniani kufanyiwa oparesheni kama hii na ajabu zaidi ni kwamba, kiungo hiki kitatengenezwa kutoka sehemu ya mkono wake.

Andrew Wardle
Katika mahojiano yake na mtandao wa The Sun, Wardle mwenyewe anasema kuwa, hakuwahi kufikiria kutokea kwa siku ambayo anaweza kupata kiungo hiki muhimu kwa mwanaume na ambacho kinafanya kazi sawasawa, na endapo itakuwa ni ya mafanikio, ataanza kuishi kama mtu wa kawaida.



Madaktari kutoka chuo kikuuu cha London tayari wameshakiri ugumu wa zoezi ili lakini wamesema kuna uwezekano mkubwa wa kufanikiwa.

Katika hali yake aliyokuwa nayo sasa, Wardle anadai kuwa amekwishawahi kulala na zaidi ya wanawake 100, na asilimia 20% tu ya wanawake hawa ndio alioweza kuwaambia ukweli.

Wardle kwa sasa anafanya kazi kama mlinzi, mpishi na mhudumu na katika historia yake, amekwishapata matukio mbalimbali ya kunyanyaswa kutokana na hali yake na kupoteza marafiki kadhaa wa kike, na amekwishakuwa akijihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya kama kitu cha kumfariji.

Mwanamuziki Selena Gomez japokuwa anamoyo wa mapenzi lakini kwa sasa haitaji kuwa na mpenzi Gomez ambaye ameripotiwa januari mwaka huu kuachana na mpenzi wake Justin Bieber na tangu wakati huo hajawahi kuwa na uhusiano na mtu yeyeto yule wala kuripotiwa kufanya hivyo

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx3GdQ0ybLANlDle8q1qhV6kQyk4PUiecvGnDQLw7dLvbx2WMIZ_CKQF5XIGFCKJKk1_0Rr5fceMISTzkC6lAJ_K_Jph9QIuc-SLPnP9a2pM3l5ijcrOVu960pscT4O2ABkp9E4VckuY9T/s1600/Selena-Gomez-Earings.jpgMwanamuziki Selena Gomez japokuwa anamoyo wa mapenzi lakini kwa sasa haitaji kuwa na mpenzi Gomez ambaye ameripotiwa januari mwaka huu kuachana na mpenzi wake Justin Bieber na tangu wakati huo hajawahi kuwa na uhusiano na mtu yeyeto yule wala kuripotiwa kufanya hivyo

"Nina mpenzi na huwa ninapenda kuwa muwazi sana na mwenye kujiamini lakini pia unatakiwa kujilinda ninataka kuwa na mpenzi mzuri lakini sitaki mpenzi kwa sasa " alisema Gomez

Alisisitiza kuwa unapokuwa staa unatakiwa kuwa muangalifu kwenye maswala ya mahusiano hususani kuchagua mchumba aliye bora kwako

KING MAJUTO AGOMA KUGOMBEA TUZO ZA WAIGIZAJI MPAKA ZAWADI IWE NI TREKTA

Mchekeshaji mahiri katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman 'King Majuto
MCHEKESHAJI mahiri katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman 'King Majuto' ametoa mpya ya mwaka baada ya kusema kuwa si kama hapendi kushiriki mashindano ya wasanii bora bali utata unakuja katika suala nzima la zawadi.

Majuto anasema kuwa kama atatokea muandaaji na kutoa tuzo bora kwa msanii na yeye akawa mshindi basi lazima ajipangie zawadi.

Mimi umri umeenda sana na nafikiria kustaafu, najua kuna watu ambao wanasema kuwa mimi ni bora, sikatai ni kweli mimi ni bora kwa hiyo ikitokea utoaji wa tuzo na mimi nikawa muigizaji bora zawadi ninayoitaka ni trekta ili nikamalizie uzee wangu kwa kilimo bora na cha kisasa,�anasema King Majuto.

King Majuto msanii mwenye masihara kila anapozungumza na watu amesema kwamba suala la kutaka apatiwe trekta ni kweli wala hatanii kama ambavyo wengi wamemzoea.

AFYA YA LIL WAYNE YAZIDI IMARIKA, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA !!!!!




Baada ya kuanguka kifafa mwanzo wa wiki iliyopita rapa Lil Wayne amerudi tena hospitali ingawa safari hii anaendelea vizuri

Rapa huyo 30 alifikishwa kwenye hospitali ya Cedars Sinai iliyopo Angeles wiki iliyopita baada ya kuanguka kifafa kutokana na ripoti za gazeti la New York Daily News ilitoa taarifa ya kuanguka kwake

Hata hivyo rapa huyo kwa sasa anaendelea vizuri kwa mujibu wa ujumbe alioutuma kwenye account yake ya mtandao wa kijamii Twitter
"Niko poua kila mtu, asante kwa maombi yenu" ujumbe wake ulisomeka hivyo kwenye ukurasa wake wa twitter

CHECK OUT ALICHOKISEMA LULU KUHUSU MAREHEMU STEVEN CHARLES KANUMBA.






Leo kutoka akaunti ya Twitter ya msanii wa filamu(Boongomovie) amefunguka na juu ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Steven Charles Kanumba ambae kifo cha mraehemu kilichosababisha yeye kuingia gerezani sasa hiki ndicho alicho kiandika kupitia ukurasa wake huo wa mtandao wa kijamiaa Twitter



WHY 90% YA MAMIS BONGO HAWAOLEKI? WAJUE WAREMBO HAO HAPA

WAKATI mashindano ya u-miss yanaanzishwa Bongo, wazazi wengi walikuwa wazito kuwaruhusu watoto wao kushiriki wakiamini kwamba ni uhuni. Kadiri miaka ilivyozidi kusonga mbele, taratibu walianza kuelewa kuwa siyo uhuni na wakawaruhusu watoto wao kwa kuyaona yana tija.
Flaviana Matata.
Matunda ya warembo yalionekana, lakini kumekuwa na dosari kwao, licha ya mafanikio makubwa wanayoyapata, asilimia kubwa hawaolewi. Swali la kujiuliza hapa ni kwa nini hawaoleki, why?
Mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema, sababu inayosababisha warembo hawa wasiolewe au hata wakiolewa wasidumu kwenye ndoa ni jinsi wenyewe walivyojijenga akilini kuwa ni watu maarufu, wazuri hivyo wamekuwa wakichagua wanaume na kuishia kutumiwa, wakija kushtuka umri unakuwa umewatupa.
Ifuatayo ni orodha ya warembo ambao wamepitia kwenye mashindano mbalimbali ya u-miss lakini mpaka sasa hawajaolewa na wengine wameishia kuzalishwa tu:

WEMA SEPETU
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ni mzuri na kila mwanaume rijali akimuona lazima amkubali. Wema alishikilia Taji la Miss Tanzania mwaka 2006 lakini mpaka sasa hajaolewa na amewahi kuvishwa pete za uchumba mara kadhaa lakini ndoa imempiga chenga.
SYLIVIA SHALLY
Miss Ilala mwaka 2009/10 kila mmoja alivutiwa na uzuri wake, ameishia kuzalishwa ambapo baba wa mtoto wake hajulikani.
MIRIAM JOLWA ‘JINI KABULA’
Ni mrefu, mrembo na mzuri. Kabula alishikilia Taji la Miss Kariakoo miaka ya nyuma lakini pamoja na uzuri wake, ameishia kuzalishwa na prodyuza, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ na baada ya hapo mapenzi yaliisha na hakuna mpango wowote wa ndoa kati yao.
JACQUELINE PENTZEL ‘JACK CHUZ’
Huyu alishikilia Taji la Miss Upanga mwaka 2005, hajaolewa. Anaendesha laifu lake kupitia uigizaji, hana dalili za kuolewa, naye amezalishwa.
ISABELA MPANDA
Huyu ni Miss Ruvuma 2006, ameingia kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva baada ya mashindano kuisha. Bado hajaolewa, alivishwa pete ya uchumba na kutolewa mahari lakini aliishia kuzaa na sasa ana watoto wawili. Ndoa kwake bado ni kitendawili.
MIRIAM JERALD
Ni Miss Tanzania mwaka 2010. Alitangaza uchumba wake na msanii wa filamu Kennedy ‘Kenny’ na kuahidi kuwa watafunga ndoa mwaka jana lakini ahadi hiyo haijatimia na ameishia kuzalishwa.
RASHIDA WANJARA
Alishikilia Taji la Miss Mara mwaka 2000 ni mrembo na umri umekwenda lakini hadi sasa hajaolewa na hajawahi kuzungumzia suala la ndoa.
JOKATE MWEGELO
Ni mrembo aliyeshikilia Taji la Miss Tanzania namba 2, mwaka 2006. Mwanadada huyu mpaka sasa hajaolewa na aliwahi kutajwa kuwa mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
SALHA ISRAEL
Huyu ni Miss Tanzania mwaka 2011. Ni mrembo lakini bado hajaolewa na ishu zake za kimapenzi hazijulikani.
FLAVIANA MATATA
Ni mrembo aliyeshikilia Taji la Miss Universe 2007/08 lakini mpaka sasa hajaolewa na anatusua masuala ya urembo katika anga za Kimataifa.

Sunday, March 17, 2013

LULU ABANWA NA FAN WAKE TWITTER KUHUSU KIFO CHA KANUMBA, HIKI NDICHO WALICHOJIBISHANA


Wakati zimebaki siku chache tu kutimia mwaka mmoja tangu msanii marehemu Steven Kanumba afariki dunia, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu, ambaye bado anakabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusidia ya msanii huyo, Lulu azungumza...
Ikiwa ni kwa mara ya kwanza, Lulu (@hotlulumichael) ametweet maneno kadhaa katika ukurasa wake wa twitter zikionesha na kuthibitisha anavyomkumbuka na k**-miss Marehemu Kanumba.
Cheki tweets zenyewe hapa chini: